Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya wazee kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya za Pemba, mara baada ya futari aliyowaandalia mjini Chakechake, leo Jumamosi, Machi 23, 2024, ambapo kabla ya hapo alikutana nao kwa ajili ya mazungumzo na mashauriano yaliyohusu masuala mbalimbali katika maeneo yao na kitaifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...