RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipeana mikono  na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Ndg.Seif Ally Seif, katika  hafla ya futari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam 22-3-2024.(Picha na Ikulu)

WAGENI waalikwa katika futari maalum iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Seif Ally Seif, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasiliamia baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliyofanyika leo 22-3-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi, wakati wa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Ndg.Seif Ally Seif, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024.(Picha na Ikulu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...