BAADA ya ligi kibao kupigwa hapo jana, hatimaye leo hii mwendo ni ule ule hakuna kupoa yani si Ujerumani, Uingereza, Italia na kwingineko mechi kibao za pea zipo meridianbet. Ingia na ubashiri sasa

Uingereza pale kutakuwa na mchezo mmoja wa EPL ambapo West Ham United atamkaribisha Aston Villa nyumbani kwake katika dimba la London kusaka pointi tatu muhimu. Vijana wa Moyes wapo nafasi ya 7 na vijana wa Unai wapo nafasi ya 4. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.55 kwa 2.60. Wewe unampa nani?. Beti sasa hapa.

Ligi nyingine ni ya LALIGA ambapo mapema tuu majira ya saa 10:00 jioni Sevilla atakiwasha dhidi ya Celta Vigo huku mara ya mwisho kukutana walitoshan nguvu. Mwenyeji kapewa 1.90 kushinda mchezo huu kwa 4.01. Je nani kuondoka na ushindi hii leo. Jisajili hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Saa 12:15 Villarreal watapepetana dhidi ya Valencia ambapo timu zote mbili zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Nyambizi wa njano wapo nafasi ya 12 na mgeni wake yupo nafasi ya 8. Mara ya mwisho kukutana, Valencia alishinda. Je leo hii mwenyeji kulipa kisais?. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA, bashiri sasa.

Usiku wa saa 5:00 Barcelona ya Xavi itakiwasha dhidi ya Atletico Madrid ya Simeone Diego ambao wapo nafasi ya 5 kwenye ligi. Atletico kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.21 kwa 2.99. Je mwenyei atalipa kisasi leo baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana?. Tengeneza mkeka wako hapa.

Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A, itaendelea hii leo kwa mechi kadhaa AC Milan atakuwa ugenini hii leo kusaka alama tatu dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Pioli na vijana wake wamepewa ODDS 1.62 kwa 5.48 kushinda mechi hii. Suka mkeka na meridianbet leo.

Saa 2:00 Atalanta atakuwa katika dimba la Gewiss kukichapa dhidi ya Fiorentina ambao wamepewa ODDS 3.82 kwa 1.91 kushinda mecgi hii. Gasperini na vijana wake wapo nafasi ya 6 kwa ya 8 huku tofauti ya pointi ikiwa ni 4 pekee. Je unadhani alama tatu zinaenda kwa nani leo?. Bashiri kijanja hapa.

Nao AS Roma watamenyana dhidi ya Sassuolo Calcio ambao wanashika nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na 1.42 ndio ODDS yake ya ushindi kwa 7.05. Weka mkeka wako sasa.

Na mechi kati Itali leo hii ni hii hapa ambayo inawakutanisha kati ya kinara wa ligi hiyo Inter Milan dhidi ya bingwa mtetezi ambaye amepoteana msimu huu Napoli. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Giuseppe Meazza huku Inzaghi baada ya kutolewa UEFA sasa anaelekeza nguvu huku akiwa na ODDS ya 1.60 kwa 5.09. Mara ya mwisho Inter alishinda, je leo hii atashinda pia?. Suka mkeka hapa.

BUNDESLIGA moto utawaka kama kawaida baada ya jana mechi kibao kupigwa leo hii zitapigwa mechi mbili katika viwanja tofauti, SC Freiburg atamulaika kinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen ambao hawajapoteza mechi yoyote msimu huu. Tofauti ya pointi kati yao ni pointi 34 huku ODS zao ikiwa ni 5.88 kwa mwenyeji na 1.50 kwa mgeni. Jisajili na ubeti hapa.

Saa 1:30 usiku Borussia Dortmund uso kwa uso dhidi ya Eintracht Frankfurt huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Dortmund yupo nafasi ya 5 na mgeni wake yupo nafasi ya 6, tofauti ya pointi ni 7. 1.59 kwa 4.90 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

Na sasa tunamulika ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 ambapo leo hii huku kuna mechi nyingi za pesa kuanzia mechi ya AS Monaco dhidi ya FC Lorient ambapo mwenyeji anapendelewa kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.32 kwa 7.84. Mara ya mwisho walitoa sare. Je nani kuibuka kidedea leo?

Huku mechi nyingine itakuwa saa 1:05 Stade Rennes itakipiga dhidi ya Olympique Marseille ambaye yupo nafasi ya 7 kwenye ligi. Tofauti ya pointi ni 3 pekee ambapo leo hii kila mtu anahitaji ushindi kusonga mbele. 2.65 kwa 2.60 ndio ODDS za mechi hii bashiri sasa.

Naye bingwa mtetezi wa ligi hiyo, PSG atakuwa ugenini leo dhidi ya Montpellier ambao wametoka kushinda mchezo wao uliopita. Paris wamekuwa na matokeo ambayo hayaridhidi mechi zao tatu zilizopita za ligi na leo wana ODDS 1.52 kwa 5.29. Je na leo wataangusha pointi. Suka jamvi lako hapa.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...