Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kimefanya hafla ya kufunga Kozi mbili za ‘Area Control Procedure’ namba 35 na Kozi ya Ndege nyuki (Drone) namba 16 kwa wakufunzi hao kuhimizwa juu ya kufanya kazi kwa weledi.

Nasaha hizo zimetolewa Machi 08,2024 na Mkuu wa Chuo cha CATC Aristid Kanje wakati wa kufunga kozi hizo mbili ambazo zimeambatana na mafunzo ya weledi yaliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Chama cha Wamiliki wa Mashirika ya Ndege nchini(TAOA) Bi Lathifa Sykes.

CATC moja ya vyuo vinavyotoa kozi ya Usalama wa Usafiri wa Anga (ASTC) na ni moja kati ya vyuo tisa vyenye sifa hizo Afrika na 35 duniani.
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...