Dkt. Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno na Rais Mstaafu wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Dr. Deogratias Kilasara Akimpatia matibabu ya Kinywa Mwanaidi Mussa (27) mkazi wa Utete  mjasiliamali aliyefika katika Hospitalia ya Utete wakati wa Wiki ya Afya na Meno ambapo Kilele cha Maadhimisho hayo kila Mwaka hufanyika Machi 20, Duniani, Kitaifa yatafanyika Mkoa wa Pwani.
 

Dkt. Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno na Rais Mstaafu wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Dr. Deogratias Kilasara  akizungumza na wananchi katika Hospitali ya Wilaya ya Utete  ikiwa ni  Wiki ya Afya na Meno ambapo Kilele cha Maadhimisho hayo kila Mwaka hufanyika Machi 20, Duniani, Kitaifa yatafanyika Mkoa wa Pwani.


Katika picha moja ni ujumbe kwa waendesha bodaboda kwenye wiki ya maadhimisho ya Kinywa .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...