His Royal Highness Mohamed Bin Salim Al Said, Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman mstaafu, akisaini kitabu cha maombolezi kufuatia msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi katika ubalozi wa Tanzania mjini Muscat, Oman
His Royal Highness Mohamed Bin Salim Al Said, Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman mstaafu, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Oman Mhe. Fatma Mohamed Rajab baada ya kusaini kitabu cha maombolezi
Sheikh Ahmed Ali Sharif Al Amri akisaini kitabu cha maombolezi katika Ubalozi wa Tanzania mjini Muscat, Oman
.jpg)
Sheikh Ahmed Ali Sharif Al Amri na Balozi wa Tanzania nchini Oman Mhe. Fatma Mohamed Rajab baada ya kusaini kitabu cha maombolezi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...