.jpeg)
Baraza kuu la waisilamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida limemtunuku cheti cha pongezi Bw. Taasisi ya Ramadhan Charity Program 2024 kwa Kuendelea Kutoa Mchango wake kwa Watu wenye uhitaji Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Pongezi hizo zimetolewa na BAKWATA Mkoa wa Singida kwa Taasisi ya Ramadhan Charity program 2024 kupitia Mwenyekiti Ahmed Misanga wakati wa tamasha la Stara lililofanyika mkoani humo hivi karibuni baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...