Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Bara, Komredi Anamringi Issay Macha, akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu wa CCM Komredi John Vianney K. Mongella, ikiwa ni ishara ya makabidhiano rasmi ya ofisi, katika shughuli iliyofanyika leo Alhamis, Aprili 4, 2024, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam.








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...