Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akisalimiana na watumishi wa wizara hiyo,Ezekiel Nyange wakati akiwasili leo Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudumu katika wizara hiyo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...