Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee akitoa maelezo kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo wakati wa kutoa elimu kwa wanafunzi wa Astashada, Stashada na Shahada wanaosoma masomo ya Ununuzi na Ugavi katika Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Afisa TEHAMA Mwandamizi kutoka PSPTB Elihuruma Eliufoo akitoa mada kuhusu namna ya mwanafunzi anavyoweza kujisajili kwenye mfumo wa Bodi (ORS) pamoja na kufanya mitihani ya Bodi wakati wa kutoa elimu kwa wa wanafunzi wa Astashada, Stashada na Shahada wanaosoma masomo ya Ununuzi na Ugavi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Afisa Ununuzi kutoka Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Ally Yassin Mbarouk akitoa maelezo kuhusu namna ya kuongeza dhamani kwenye taaluma hiyo kwa wanafunzi wa Astashada, Stashada na Shahada wanaosoma masomo ya Ununuzi na Ugavi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa Astashada, Stashada na Shahada wanaosoma masomo ya Ununuzi na Ugavi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) wakiuliza maswali kwa wafanyakazi wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) aliofika chuoni hapo kwa ajili ya kutoa elimu .







Baadhi ya wanafunzi wa Astashada, Stashada na Shahada wanaosoma masomo ya Ununuzi na Ugavi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) wakifuatilia mada kutoka kwa wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) waliofika chuoni hapo kwa akili ya kutoa elimu zinayohusu Bodi hiyo.
Mhadhili wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Dkt. Kamugisha Alfred Rwechungura kitoa neno la shukrani kwa wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) waliofika chuoni hapo kwa akili ya kutoa elimu zinayohusu Bodi hiyo.

Watumishi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mhadhili wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Dkt. Kamugisha Alfred Rwechungura mara baada ya kumaliza mafunzo chuoni hapo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) wanaosoma masomo ya Ununuzi na Ugavi wakionesha zawadi zao mara baada ya kushinda kwenye maswali yaliyokuwa yanaulizwa na Watumishi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) waliofika chuoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...