Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...