Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Deogratius John Pancras Ndejembi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kanali Evans Alfred Mtambi kuwa Mkuu wa mkoa wa Mara kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhandisi Kundo Andrea Mathew kuwa Naibu Waziri wa Maji kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Maryprisca Winfred Mahundi kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jumanne Abdallah Sagini kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Daniel Baran Sillo kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Zainab Athuman Katimba kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Edwin Paul Mhede kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Suleiman Hassan Serera kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Eva Kiaki Nkya kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Viongozi mbalimbali Wakiapa Kiapo cha Maadili kwa viongozi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na mtoto Intisaar Suleiman Serera (8) mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...