Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Mji wa Tunduma, Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, leo Jumatatu, Aprili 15, 2024, akiambatana na Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Ndugu Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa NEC - Oganaizesheni na Ndugu Amos Gabriel Makala, Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo. 

Balozi Dk Nchimbi ameingia mkoani Songwe kwa ziara ya siku mbili, tarehe 15 na 16, Aprili, 2024, akitokea Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake katika mikoa 6 ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Ruvuma.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...