KWA wale wote wanaobashiri na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet kwa taarifa tu leo ni ile siku ya kupiga mkwanja kupitia ligi kuu ya Uingereza, Ufaransa, pamoja na michuano ya Coppa Italia kutoka nchini Italia.

Michezo mbalimbali itapigwa usiku wa leo katika ligi hizo zilizotajwa hapo hivo wewe mteja wa Meridianbet unachotakiwa kukifanya ni jambo moja tu kusuka mkeka wako na kuweka dau lako na kusikilizia mkwanja, Kwani michezo itakua ya kutosha na kama ilivyo kawaida mabingwa wa kubashiri Meridianbet wanaweka machaguzi ya kutosha.

EPL
Moja ya michezo mikali inayosubiriwa leo ni mchezo mkali kati ya Everton na klabu ya Liverpool ambapo huu ni mchezo wa Derby, Mchezo huu licha ya kua derby lakini unakua mkali zaidi kwakua Liverpool wanahitaji ushindi katika kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza lakini upande wa Everton wao wanapambania kutoshuka daraja.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye michuano mbalimbali barani ulaya na duniani kote. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Man United wao baada ya kutoka suluhu katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Bournamouth wiki mbili zilizopita leo watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Sheffield United inayoshika mkia kwenye ligi hiyo.

Mchezo mwingine mkali utakua baina ya klabu ya Crystal Palace ambao wametoka kuwapa kipigo kizito Westham United wikiendi iliyomalizika dhidi ya Newcastle United, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali vilevile kwakua vilabu vyote vimekua kwenye kiwango kizuri kwenye michezo kadhaa iliyiopita.

LIGUE 1
Pale kwenye ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 mabingwa watetezi klabu ya PSG watakua ugenini kumenyama na klabu ya Lorient, Olympique Marseille watakua nyumbani kumenyana na OGC Nice, Mchezo mwingine utakua kati ya Monaco na klabu ya Lille ambapo ni moja ya michezo mikali kwenye ligi hiyo usiku wa leo.

COPPA ITALIA
Pale nchini Italia leo itapigwa nusu fainali ya marudiano ambapo klabu ya Atalanta watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Fiorentina ambao walishinda mchezo wa kwanza wakiwa kwao, Hivo mchezo wa leo ndo utaamua ni timu gani itacheza fainali ya michuano hiyo msimu huu ambapo watamenyana na Juventus ambao tayari wametangulia fainali baada ya kuitupa nje klabu ya Lazio usiku wa jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...