Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 11, 2024 amewasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha ambapo kesho Aprili 13, 2024 atashiriki katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine itayofanyika Moduli.

Mheshimiwa Majaliwa amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Loy Thomas Ole Sabaya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...