
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi Naibu Spika wa Qatari Mhe. Hamda Bint Hassan Al-Sulaiti, zawadi ya kahawa kutokea Zanzibar katika Ofisi za Makao Makuu ya IPU, Geneva nchini Uswisi leo tarehe 17 Mei, 2024 wakati wa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 6 Maspika wa Mabunge Duniani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akimkabidhi Spika wa Algeria Mhe. IBrahim Boughali, zawadi ya ngao yenye kuakisi IPU na asili ya Tanzania katika Ofisi za Makao Makuu ya IPU, Geneva nchini Uswisi leo tarehe 17 Mei, 2024 wakati wa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 6 Maspika wa Mabunge Duniani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Spika wa Qatari Mhe. Hamda Bint Hassan Al-Sulaiti, katika Ofisi za Makao Makuu ya IPU, Geneva nchini Uswisi leo tarehe 17 Mei, 2024 wakati wa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 6 Maspika wa Mabunge Duniani unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...