SUB: “Rise of Coins mchezo wa sloti unaotolewa na mtoa huduma Synot. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, utapata bonasi za kasino. Kuna bonasi ya kamari, sarafu zinazotoa ushindi wa papo hapo, na mizunguko ya bure”

Maelzo ya Msingi na Rise of Coins Kasino
Rise of Coins ni mchezo wa sloti katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye safu tano zilizopangwa kwenye mistari mitatu na ina nguzo 10 za malipo yasiyobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama mbili au tatu zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni Sarafu ni alama pekee zinazotoa malipo hata ukiwa na moja tu kwenye safu. Mchanganyiko wote wa kushinda unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kuongeza malipo yako kwa kuunganisha mchanganyiko wa kushinda kwenye mistari mbalimbali ya malipo kwa wakati mmoja.

Katika sehemu ya Bet kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza ambavyo hutumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kukiwezesha wakati wowote upendao. Kupitia kipengele hiki, unaweza kuweka idadi isiyo na kikomo ya mizunguko.

Wachezaji wakubwa (High Rollers) watapenda kipengele cha Max Bet. Kubofya kwenye sehemu hii kunakuwezesha kuweka dau la juu kabisa kwa kila mzunguko.

Alama za Sloti ya Rise of Coins
Unapokuwa unaucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni utakutana na alama za kawaida za kadi kama. (10, J, Q, K na A) hizi hutoa malipo madogo zaidi. Zimegawanywa katika makundi mawili kulingana na thamani ya malipo.

Kuna alama ya miungu ya Misri inatumika kama alama za ushindi ukiunganisha alama ya Anubis utapata mara 75 ya dau lako.

Kuna mungu mwingine wa Misri, Horus, ambaye yuko miongoni mwa alama za mchezo huu. Ukiunganisha alama hizi tano kwenye mstari wa malipo, utashinda mara 200 ya dau lako.

Alama yenye thamani kubwa zaidi kati ya alama za msingi ni mtafiti. Ukiunganisha alama hizi tano kwenye mchanganyiko wa kushinda, utapata mara 500 ya dau lako.

Mchezo Huu pia una Bonasi za Kipekee;
Jokeri amewakilishwa na kitabu cha dhahabu na anaonekana kwenye safu zote. Anachukua nafasi ya alama zote isipokuwa sarafu na husaidia katika kuunda ushindi. Jokeri watano kwenye safu zinakuletea mara 200 ya dau lako.

Sarafu ni aina nyingine maalum. Zinatoa malipo popote zinapotokea kwenye safu hata ukiwa na moja tu. Zinaweza kuonekana kama za shaba, fedha, au dhahabu. Zinapojitokeza, hubeba malipo ya bahati nasibu kutoka x1 hadi x500 ya dau lako.

Kila ushindi kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unaweza kuongezwa kwa msaada wa bonasi ya kamari. Unahitaji tu kubashiri rangi ya karata nyeusi au nyekundu itajitokeza baada ya karata kufuniliwa kwenye meza.

Tembelea www.meridianbet.co.tz kufurahia ushindi wako leo!
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...