



Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto), akimkabidhi Cheti Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Fedha, Bi. Fauzia Nombo na kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (kushoto) akizungumza jambo na Mfanyakazi Hodari wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, alipotembelewa nyumbani kwake jijini Dodoma, baada ya kukabidhiwa Cheti. Kulia ni Katibu wa TUGHE Wizara ya Fedha, Bw. Shumbi Mkumbo.


Mfanyakazi Hodari Wizara ya Fedha kwa mwaka 2024, Bw. Masoud Ndembo, kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha na Huduma za Tehama, akishukuru kwa dhati ujumbe wa Wizara ya Fedha, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha. Bi. Jenifa Christian Omolo (hayupo pichani) baada ya kumtembelea nyumbani kwake jijini Dodoma na kumkabidhi Cheti.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha-Dodoma)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...