JUMATATU ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika rasmi ambapo ndugu mteja leo hii unaweza kusuka mkeka wako wa maana na kuibuka mshindi. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Kundi B leo hii kutawaka moto ambapo hili ni kundi la kifo kabisa yaani timu zote ni ngangari kabisa Albania atakuwa akijaribu bahati yake dhidi ya kinara wa kundi Spain ambaye amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.66.

Albania anashika nafasi ya tatu akiwa hajashinda mechi hata moja kati ya mbili alizocheza. Je leo mbele ya Fabian Ruiz, Cucurella, Carvajal, Yamal, Pedri na wengine kibao watafanya nini?. Beti sasa.

Huku EURO kule COPA AMERICA unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Mechi nyingine ya kupiga pesa kirahisi ni hii ya Croatia dhidi ya Italy ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hili. Mechi hii imepewa ODDS 3.09 kwa 2.45 lakini pia ina machaguo zaidi ya 1000.

Italia chini ya Luciano Spalletti wanataka kutetea taji lao huku ushindi wa leo dhidi ya Croatia yenye wachezaji kama vile Modric, Kovacic, Pasalic, Gvardiol na wengine ibao utawafanya wawe kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele. Je dimba la Red Bull Arena Leipzig litashuhudia nani kuibuka mbabe?. Jisajili hapa.

Kivumbi kitawaka pale Olympiastadion ambapo kutakuwa na kipute kikali kati ya Netherland dhidi ya Austria ambao wametoka kushinda mchezo wao uliopita kwa kishindo kabisa. Huku kwa Uholanzi wao wametoka kutoa sare tasa.

Je ni upande gani utatoa mshindi? Huku kuna Akanji, Van Dijk, Depay, Ake na wengine, wakati kule kuna Konrad Laimer, Sabitzer, Mwene na wengine. Suka jamvi lako la maana na ubashiri sasa mechi hii yenye ODDS 2.20 kwa 3.52.

Wakati huo huo France atapepetana dhidi ya Poland ambao ndio vibonde wa kundi D wakiwa hawajashinda mechi hata moja mpaka sasa. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Didier Deschamps kwa ODDS 1.30 kwa 9.60.

Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Signal Iduna Park huku mashabiki wengi wa Ufaransa wakisubiri urejeo wa Kylian Mbappe ambaye aliumia mchezo wa kwanza. Je nani kumaliza hatua ya makundi kwa ushindi. Tengeneza jamvi hapa.

Saa nne usiku England chini ya Gareth Southgate wataumana dhidi ya Slovenia na ikumbukwe kuwa timu zote zimetoka kutoa sare mechi zao zilizopita. Timu hiyo ya Uingereza ikiwa ni moja wa timu inayopewa nafasi ya kubeba ubingwa bado haijshawishi wengi kutokana na uchezaji wao.

Licha ya kuwa na vijana wenye viwango vikubwa kwenye vilabu vyao kama vile Phil Foden, Bukayo Saka, Bellingham, Kane na wengine Uingereza bado haina mvuto hadi sasa. Wamepewa ODDS 1.37 kwa 8.42 kushinda mechi hii mbele ya Waslovenia. Je wanaweza kutoboa?. Bashiri hapa.

Nao Denmark watakuwa na kazi ya kumpasua Serbia ambao ndio vibonde wa kundi hilo wakiwa na pointi moja pekee hadi sasa. Meridianbet wamempa nafasi ya kuibuka mshindi Dermark kwa ODDS 2.20 kwa 3.28. Schmeichel, Hojbjerg, Eriksen, Hojlund kule Vlahovic, Mitrovic, Pavlovic, Tadic. Nani ni hapo kuibuka kidedea?. Suka mkeka wako sasa.

Kule COPA AMERICA leo hii kutakuwa na mechi mbili kutoka kundi D ambazo zitachezwa saa saba usiku Colombia atakichapa dhidi ya Paraguay ambao hawapewi nafasi ya kuibuka na ushindi leo hii ndani ya Meridianbet wakiwa na ODDS 5.29 kwa 1.69.

Timu hizi mara ya mwisho kukutana, ilikuwa ni mwaka jana kwenye mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo Colombia waliibuka na ushindi. Je leo hii Paraguay anaweza kulipa kisasi?. Beti mechi hii.

Vilevile Brazil atakuwa uso kwa uso dhidi ya Costa Rica huku nafasi ya kushinda moja kwa moja akipewa Mbrazil akiwa na ODDS 1.11 kwa 20.58. Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa ni 2018 na Costa Rica alipoteza.

Kikosi cha Brazil kinapewa nafasi kutokana na wachezaji wao wengi wakubwa na wanacheza ligi kubwa kama vile, Viniciouz JR, Rodrygo, Militao, Raphinha, Danilo na wengine kibao. Je mgeni anaweza kukinyima ushindi kikosi hicho?. Beti hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...