*CEO wa Meridianbet Zoran Milosevic Ataongea kuhusu Biashara ya Michezo ya Ubashiri kwenye Siku ya Wawekezaji ya Senzal”

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leo Jumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia.

Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kama Meridianbet ili kujadili mwenendo, hali ya sasa ya soko, na fursa za ukuaji kiuchumi katika ulimwengu wa masoko ya mitaji na uwekezaji.

Kama CEO wa kampuni ya kwanza kwa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni kuorodheshwa kwenye soko la hisa la NASDAQ, Zoran Milosevic ataweka wazi namna ambavyo alipata wazo la kuanzisha kampuni inayofanya vizuri kwa sasa duniani, changamoto na faida za kuingia kwenye soko la Hisa nchini Marekani, na mipango ya baadaye ya Meridianbet.

Meridianbet ni sehemu ya Kampuni ya Golden Matrix Group (GMGI), inatoa huduma ya michezo ya ubashiri na kasino mtandaoni katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, na Ulaya, Kampuni hii imebeba ndoto za wengi katika ukuaji wa uchumi wa mtu na jamii kwa ujumla.

NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...