

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga (kulia) Evans Nyangasa akikabidhiwa Cheti cha Ushindi wa utoaji huduma za bima ya afya na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi ,Dkt Batilda Burian (kushoto) kwenye maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga na yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...