Katika tambua umuhimu wa michezo shuleni Club ya mpira ya wahitimu chuo Kikuu mzumbe wameahidi kuchangia ujenzi wa vyoo na sehemu ya kubadilisha mavazi Kwa wasichana katika shule ya msingi Mzumbe iliyopo wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro

Hii ni sehemu ya mashirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na wahitimu waliowahi kusoma Chuoni hapo ambapo ni miaka nne mfululizo sasa wahitimu hao wamekuwa na tabia ya kurudi chuoni na kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kupata miti pamoja na kufanya usafi

Dkt.Lucy massoi ni mkurugenzi wa kulugenzi ya Ukimataifaji Baraza la wahitimu chuo kikuu Mzumbe amesema Mpango mkakati wa Chuo hicho kuendeleza mashirikiano na wahitimu Ili wawe mabalozi Wazuri waweze kikitangaza Chuo kwenye maeneo waliopo

Kwa mwaka huu 2024 wahitimu hao wameshiriki zoezi la kupanda miti, kufanya usafi pamoja na kucheza michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa Pete, mpira wa miguu, kukimbuza kuku na kuvuta kamba.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...