Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo, watu mbalimbali wakiwemo wa chama na serikali walihudhuria
.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani wa tano kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Pwani na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete wa sita kutoka kulia kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la Shughuli za Kiuchumi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani iliyofanyika jana Juni 29, katika Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...