Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende na ujumbe wake wametembelea Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC).

Katika ziara hiyo Air Vice Marshal Shaende amepata fursa ya kufahamishwa kuhusu mafunzo yanayotolewa, mafanikio yake kitaifa na Kimataifa na mkakati  wa sasa wa serikali wa kuboresha chuo chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).

 Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) Aristid Kanje akitoa maelezo kuhusu Chuo hicho kwa Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende na ujumbe wake waliotembelea Chuo hicho.
Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende  akizungumza mara baada ya kupewa taarifa za Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) 
Baadhi ya maafisa wa Jeshi la Namibia na Tanzania wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) Aristid Kanje
Mkuu wa Jeshi la Anga la Namibia Air Vice Marshal Teofilus Shaende (wa tatu kushoto) pamoja na  Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) Aristid Kanje (katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe wake wametembelea Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...