Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia S. Hassan, na mgeni wake, Mhe. Filipe J. Nyusi, Rais wa Msumbiji (wa pili kutoka kushoto), wakimsikiliza Philip Besiimire, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakati marais hao walipotembelea banda la kampuni hiyo. Pichani, Bw. Besiimire anaelezea shughuli za kampuni hiyo mnamo Julai 4, 2024, wakati wa uzinduzi rasmi wa maonesho ya 48 ya Sabasaba ambapo Vodacom pia iliibuka mshindi wa jumla huku mheshimiwa January Makamba (katikati), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akitazama.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...