Afisa msajili.  Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ,Mariam Ling'ande (kulia) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam.
Mafisa mbalimbali wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam.

Kazi ikiendelea Wananchi wakiwa kwenye  foleni  ya kwenda kujisajili ili kupata cheti cha  kuzaliwa kwenye banda la  wakala wa Usajili na Udhamini( RITA)  kwenye maonesho yanayoendelea ya 48 ya kimataifa  ya Biashara ya Dar es Salaam maarufu kwa Sabasaba jijini Dar es salaam jana.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...