NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa A Zungu aongoza mapokezi ya Spika wa Comoro Mhe. Moustadroine Abdou leo katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mapokezi hayo yaliyofanyika leo tarehe 31 Agosti 2024 aliambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Vita Kawawa na Naibu Balozi wa Comoro nchini Tanzania Mhe. Bacar Salim




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...