MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogogolo, leo anaendelea na ziara yake katika Jimbo la Ukonga yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za wanchi.
Mkuu wa Wilaya atasililizs kero za wananchi wa kata nne za Kipunguni,Gongo la mboto, Mzinga na Pugu station.
Mkutano wa hadhara unafanyika katika viwanja vya Kitunda mnadani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...