HAINA haja ya kusubiri mpaka ligi zirejee wakati unaweza ukaendelea kukusanya maokoto kupitia Meridianbet kwa kubashiri michezo mbalimbali ambayo inaendelea kuchezwa kipindi hiki ligi zimesimama.
Ni michuano ya Uefa Nations League ndio ambayo inaweza kukuokoa kipindi hiki ligi zimesimama, Kwani inachezwa michezo mikali ambapo mataifa mbalimbali barani ulaya yanakutana kukipiga lakini kubwa zaidi imepewa Odds kabambe.
Moja ya michezo mikali ambayo itachezwa leo itakutanisha timu ya taifa ya Ureno mabingwa wa michuano ya Uefa Nations League 2019 dhidi ya wanafainali wa michuano hiyo mwaka 2024 timu ya taifa ya Croatia, Huku Ronaldo kule Modric mchezo ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa.
Mabingwa wa michuano ya Euro 2024 timu ya taifa ya Hispania leo watakua ugenini kumenyana na timu ya taifa ya Serbia, Mchezo huu Hispania wamepewa nafasi kubwa ya kushinda na wamepewa Odds nzuri sana ndani ya Meridianbet.
Kipute kingine kitachezwa pale kwenye dimba la Hampden Park ambapo timu ya taifa ya Scotland watakua nyumbani kuwakaribisha timu ya taifa ya Poland, Mchezo huu utakua mkali kwani timu zote mbili hazijapishana sana kwenye ubora na yeyote kati yao anaweza kuibuka mshindi katika mchezo huu.
Denmark watakua nyumbani leo kumenyana na timu ya taifa ya Uswisi kwenye michuano ya Uefa Nations League, Timu hizi zimekua zikipeana mchezo mgumu kila zinapokutana michezo mitatu ya mwisho wametoka sare mara mbili na Denmark kushinda mara moja hivo mchezo wa leo unatarajiwa kua mkali na mgumu pia.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...