MTEJA wa Meridianbet leo hii una nafasi ya kujishindia maokoto endapo utabashiri mechi zako kwani ligi mbalimbali zinaendelea. Machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa.
Kule Hispania leo kuna michezo mitatu ya LALIGA ambayo inaendelea ambapo Sevilla baada ya kupoteza mchezo uliopita atakiwasha dhidi ya Real Valladolid ambaye yeye ametoka kutoa sare. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.67 kwa 5.09. Wewe beti yako unampa nani?. Suka jamvi hapa.
Mechi nyingine ya kubashiri leo hii ni kati ya Valencia vs CA Osasuna majira hayo hayo ya saa 2:00 usiku. Mwenyeji kwenye mechi 6 ameshinda mechi moja pekee, huku kwa mgeni yeye ameshinda 3. Mara ya mwisho kukutana, Valencia alishinda. Je mgeni ataweza kulipa kisasi ugenini? Jisajili hapa.
Nafasi ya kuondoka na kibunda mfukoni kwako unayo leo, timu kibao zipo dimbani kusaka ushindi. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Wakati baadae kabisa bingwa mtetezi Real Madrid atakuwa Santiago Bernabeu kupepetana dhidi ya Deportivo Alaves. Ancellotti na vijana wake wanahitaji ushindi kwenye mchezo wa leo ili waweze kuwafukuzia vyema mahasimu wao ambao wamewapita pointi 4. Mechi ya mwisho kukutana Real alishinda. Je leo hii ataendeleza ubabe? Tengeneza jamvi hapa na mechi hii yenye ODDS 1.18 kwa 13.78.
SERIE A kuna mtanange mmoja leo Atalanta ataumana dhidi ya Como ambaye amepanda daraja msimu huu huku akiwa amecheza mechi 4 na kukusanya pointi mbili pekee wakati vijana wa Pellegri wakishikilia nafasi ya 9 baada ya kupata pointi 6. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri sasa.
Ndugu mteja unaweza ukabashiri pia mechi za Carabao Cup hatua ya tatu ambapo Chelsea wao watakipiga dhidi ya Barrow ambayo inakipiga kule League 2 Uingereza ikiwa ndiyo kinara wa ligi hiyo. The Blues kushinda wana ODDS 1.03 kwa 34.3. Beti hapa.
Pia Manchester City yeye atamenyana dhidi ya Watford ya Champioship Uingereza huku akiwa anashika nafasi ya 8. Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa 2022 na Pep Guardiola aliondoka na ushindi mechi zote mbili. 1.10 kwa 18.62 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Leicester City atakuwa ugenini dhidi ya Walsall FC ambayo inacheza League 2 Uingereza na sasa inashika nafasi ya 3 kwenye ligi. Mchezo wa mwisho kukutana. The Foxex waliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji atafanya nini nyumbani?. Suka mkeka wako hapa.
Nao Wycombe Wanderers watakuwa wenyeji wa Aston Villa ya Unai Emery ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Unaweza ukajipigia pesa kwenye mechi hii ambayo imepewa machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.
Pia kule Italia leo hii kutakuwa na michezo ya COPPA ITALIA hatua ya awali ambapo US Lecce atamenyana dhidi ya Sassuolo Calcio ambao wanashiriki Serie B. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.91 kwa 3.87. Wewe unampa nani? Jisajili hapa.
Kwa upande wa Cagliari Calcio atakuwa mwenyeji wa US Cremonese ambapo timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2020 ambapo mwenyeji alishinda. 1.88 kwa 3.92 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Saa 4:00 usiku Torino atakuwa uso kwa uso dhidi ya Empoli ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku mwenyeji akiwa ndiye kinara wa ligi na mgeni wake akiwa nafasi ya 5. Nani kushinda mechi ya leo?. Beti hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...