LEO ndio ile siku yako ya kubutua mamilioni kupitia michezo ambayo itachezwa leo, Kwani leo ni michezo mikali na ya kibabe tu itakwenda kupigwa na ndio itakua fursa yako ya kuondoka maokoto ya kutosha.
Michezo mikali itachezwa leo kwenye michuano ya Uefa Nations League na kama kawaida mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamemwaga Odds za kutosha pale kwenye tovuti yao bashiri sasa michezo hiyo na ushinde.
Timu ya taifa ya Ujerumani itacheza wake wa kwanza wa michuano ya Uefa Nations League leo dhidi timu ya taifa ya Hungury wakiwa nyumbani leo, Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa licha ya Ujerumani kupewa nafasi kubwa ya kushinda.
Uigereza leo watakua dimbani pia kuhakikisha wananza michuano ya Ueafa Nations League vizuri leo wakiwa ugenini ambapo watamenyana na timu ya taifa ya Ireland,Uingereza wamekua na rekodi nzuri dhidi ya Ireland lakini wenyeji wa mchezo huo wanahitaji kupata matokeo ya ushindi wakiwa nyumbani hivo mchezo ni mkali.
Vijana wa kocha Ronald Koeman timu ya taifa ya Uholanzi baada ya kumaliza katika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Euro 2024, Leo wataanza kampeni yao ya michuano ya Uefa Nations League kwa msimu wa 2024/25 dhidi ya timu ya taifa ya Bosnia Herzegovina.
Mchezo mwingine ambao utakua wa kukata na shoka leo utakua baina ya timu ya taifa ya Ukraine dhidi ya timu ya taifa ya Albania, Ambapo mchezo huu umepewa Odds bomba pale Merdianbet kama michezo mingine hivo unaweza kutengeneza hela kupitia kipute hiki.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...