USIKU wa Ulaya unarejea yaani UEFA leo ni kipute ambapo timu kutoka Mataifa mbalimbali yatashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu kwenye mechi zao leo. Je beti yako unaiweka wapi leo?
Mapema kabisa saa 1:45 usiku Juventus chini ya Thiago Motta watakuwa wenyeji wa PSV kutoka kule Uholanzi ambapo nafasi ya kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet akipewa Bibi Kizee wa Turin akiwa na ODDS 1.84 kwa 4.01.
Juve kwenye ligi mpaka sasa amecheza mechi 4 akikusanya pointi 8, wakati wa PSV ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uholanzi wao wamecheza mechi 5 wakishinda zote kwa kukusanya pointi 15.
Je leo hii nani kuanza UEFA kwa ushindi pale katika dimba la Allianz?. Bashiri mechi hii.
Majira hayo hayo kutakuwa na mtanange mwingine kule Uswizi ambapo Young Boys Bern atamualika Aston Villa kutoka kule Uingereza. Villa chini ya Unai Emery walikuwa na msimu mzuri uliopita wakimaliza nafasi ya 4.
Leo sasa ndani ya Meridianbet anayepewa nafasi ya kuondoka na pointi tatu ni mgeni akiwa na ODDS 1.64 kwa 4.80. Young Boys kwenye ligi anashika nafasi ya mwisho baada ya kutoa sare 3 na kupoteza michezo mitatu kati ya 6 huku Villa kiwa nafasi ya 5 akiwa na pointi 9 kwenye mechi 4.
Unaweza kukusanya mpunga ukiweka dau lako kwenye mechi hii ya ligi ya Mabingwa ambayo pia ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa.
Mechi za UEFA leo zinakupa nafasi ya kuondoka na mshiko wa maana, Bayern, Liverpool, Real Madrid na wengine kibao wana pesa yako. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Na mechi kali leo kabisa itakuwa hii ya AC Milan dhidi ya Liverpool katika dimba la San Siro majira ya saa 4 usiku. Milan kwenye mechi 4 za ligi alizocheza ndio kwanza amepata ushindi mmoja pekee huku Jogoo wa Anfield yeye alipoteza mechi yake iliyopita.
Liverpool chini ya kocha mpya wanahitaji kuanza vyema ligi ya mabingwa mbele ya Milan ambayo pia ina kocha mpya Paulo Fonseca yaani ni vita ya makocha wapya kwenye timu zao. Kwenye mechi za mwisho za UEFA walizokutana Milan alipoteza zote.
Lakini wewe leo una nafasi ya kukwapua mpunga na Meridianbet ukibashiri mechi hii yenye ODDS ya 3.92 kwa 1.93. Beti sasa.
Naye Bingwa mtetezi Real Madrid atakuwa Santiago Bernabeu kumenyana na VFB Stuttgart ya kule Ujerumani ambaye alikuwa na msimu mzuri uliopita. Madrid chini ya Ancellotti ambayo kwasasa ina Kylian Mbappe wanashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi huku mgeni wake akishika nafasi ya 10 kwenye ligi.
Madrid wanapendelewa kushinda leo hii wakiwa na ODDS 1.30 kwa 8.03 dhidi ya mgeni wake. Je bingwa mtetezi ataanzaje UEFA?. Jisajili na Meridianbet.
Pia suka mkeka wako hapa kwa Bayern Munich dhidi ya Dinamo Zagreb huku mechi hii ikipewa machaguo zaidi ya 1000 kule Meridianbet. Bayern kwasasa ambao wananolewa na kocha mkuu Vincent Kompany wanahitaji ushindi wa hali na mali nyumbani leo.
Wakati kwa upande wa Zagreb wao wanataka kulipa kisasi mbele ya Munich ambao 2015 walipokutana kwenye UEFA walipoteza mechi zote mbili. Je leo Wababe hawa wa Bundesliga watakubali kichapo?. Tengeneza jamvi hapa.
Huku Sporting Lisbon yeye atakipiga dhidi ya Lille saa nne usiku huku mechi hii ikiwa imepewa ODDS 1.64 kwa 5.09 Meridianbet. Sporting kutoka Ureno ndio mabingwa wa ligi hiyo huku Lille yeye akichukua kombe la Ligue 1 2021. Nani kuondoka kifua mbele leo?. Jisajili sasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...