Kaimu Afisa Mkuu wa Tigo,Jerome Albou akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi alipotembelea Makao makuu ya Tigo, ikiwa ni ziara ya Naibu Waziri kutembelea makampuni ya Mawasiliano nchini kwa lengo la kujionea utendaji kazi katika makampuni haya. Katika ziara yake Naibu Waziri alitembelea makao makuu ya Tigo na kupokelewa na Menejimenti yetu, na baadae akapata fursa ya kutembelea Call Center /Kituo cha Huduma kwa Wateja pamoja na Kituo cha Data (Data Centre).


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...