Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar leo ametembelea mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki  watakao husika na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Singida Vijijini  mkoani Singida na kuzungumza nao wakati wa mafunzo yao ya siku mbili yaliyoanza leo  Septemba 22 na kumalizika kesho Septemba 23, 2022.

Akizungumza na Waandishi hao Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki  Dkt Zakia aliwataka kuzingatia mafunzo wanayopewa, dhamana waliyopewa ya kuendesha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa weledi. Mafunzo hayo ni maandalizi ya Uboreshaji wa Dafrati la Kudumu la Wapiga Kura unaoitaraji kuanza Septemba 25, 2024  hadi Oktoba 1 mwaka huu.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar leo ametembelea mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki  watakao husika na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Singida Vijijini  mkoani Singida na kuzungumza nao wakati wa mafunzo yao ya siku mbili yaliyoanza leo  Septemba 22 na kumalizika kesho Septemba 23, 2022.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kulia) akiangalia mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakati alipotembelea mafunzo yao leo Septemba 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Mwanamwema Shein iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singioda Vijijini mkoani  Singida. Mkoa wa Singida na Dodoma wanataraji kuanza uboreshaji septemba 25 hadi Oktoba mosi mwaka huu.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kushoto) akiangalia mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakati alipotembelea mafunzo yao leo Septemba 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Mwanamwema Shein iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singioda Vijijini mkoani  Singida. Mkoa wa Singida na Dodoma wanataraji kuanza uboreshaji septemba 25 hadi Oktoba mosi mwaka huu.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kulia) akiangalia mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakati alipotembelea mafunzo yao leo Septemba 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Mwanamwema Shein iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singioda Vijijini mkoani  Singida. Mkoa wa Singida na Dodoma wanataraji kuanza uboreshaji septemba 25 hadi Oktoba mosi mwaka huu.

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar (kulia) akiangalia mafunzo kwa vitendo yaliyokuwa yakifanywa na waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakati alipotembelea mafunzo yao leo Septemba 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Singida mkoani  Singida. Mkoa wa Singida na Dodoma wanataraji kuanza uboreshaji septemba 25 hadi Oktoba mosi mwaka huu.
Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wakisikiliza jambo wakatio wa mafunzo. 

Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya Waandishi wa Saidizi na Waendesha vifaa vya Bayometric  (BVR) wakila kiapo cha  kujitoa uanachama na kiapo cha kutunza siri muda wote wa utekelezaji wa majukumu yao. 

Mafunzo yakiendelea 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...