IKIWA leo hii ni Ijumaa ya tarehe 20 ligi mbalimbali zinaendelea kutimua vumbi kuanzia kule Laliga, Bundesliga, Serie A na kwingineko huku nafasi ya wewe kukwapua mpunga ikiwa ni kubwa ndani ya Meridianbet.

Na leo ndani ya Meridianbet tutaanza kuangazia ligi ya Italia SERIE A ambapo kutakuwa na mechi mbili huku mechi ya mapema kabisa itakuwa saa 1:30 usiku kati ya Cagliari dhidi ya Empoli katika dimba la Unipol Domus.

Cagliari ametoka kupoteza mechi yake iliyopita kwa kipigo kizito huku mgeni wake akitoa suluhu mchezo wake uliopita. Meridianbet wnampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS ya 2.19 kwa 3.38. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Suka jamvi hapa.

Meridianbet inakupa nafasi ya kuondoka na mshiko wako leo ukibashiri mechi za Ijumaa ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Mechi nyingine ya pesa Italia ni hii ya mwenyeji Hellas Verona vs Torino huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni mbili pekee mwenyeji anashikilia nafasi ya 7 na mgeni wake yupo nafasi ya 5. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili Torino alishinda. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo akiwa na ODDS 2.74 kwa 2.65?. Jisajili hapa.

Pia Ijumaa ya leo kutakuwa na mchezo mmoja wa BUNDESLIGA ambapo mtanange utakuwa ni kati ya FC Augsburg dhidi ya FSV Mainz majira ya 3:30 usiku. Mwenyeji ametoka kushinda mchezo wake uliopita, huku mgeni wake akipoteza mchezo wake uliopita.

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.45 kwa 2.74 kwai Augsburg anataka kulipa kisasi cha kupoteza mchezo wake wa mwisho walipokutana. Beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Jisajili sasa.

LALIGA nayo baada ya kuendelea jana leo tena kuna mchezo mmoja kati ya Deportivo Alaves dhidi ya Sevilla ambao wametoka kushinda mchezo wao uliopita. Mwenyeji alipoteza mechi yake iliyopita akiwa ugenini hivyo leo yupo nyumbani anatak ushindi.

Mechi ya mwisho walipokutana, Sevilla alipoteza hivyo leo anataka ushindi kwa hali na mali yoyote na Meridianbet wanakwambia hivi mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

Vilevile LIGUE 1 nayo kitawaka kama kawaida majira ya saa 3:45 Nice atakuwa mwenyeji wa Saint-Etienne ambao wamepanda daraja msimu huu. Mwenyeji kwenye mechi 4 alizocheza ameshinda moja akitoa sare moja na kupoteza mbili, wakati kwa mgeni wake yeye kashinda moja na kupoteza tatu.

Nice anashika nafasi ya 12 na Etienne yupo nafasi ya 16 huku mechi hii ikipewa ODDS 1.57 kwa 5.68. Tengeneza jamvi hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...