SINGIDA 

KIONGOZI  wa Makundi Muhimu TK Movement Mkoa wa Singida,Ndg Ahmed Misanga (alivaa kofia) amewataka vijana kutumia fursa ya kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura wa Serikali za mitaa ili kutoa fursa ya Kuchagua viongozi wanaowahitaji.Misanga ameyasema hayo wakati alipokutana na vijana Mkoa wa Singida ikiwa ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha kutimiza haki ya kupiga kura.

Amesema kuwa vijana kunahitaji kujitambua katika kufanya maamuzi chanya kwenye kuyaendea ikiwemo ya kujiandikisha ili kuchagua wa viongozi wa Vijiji,Vitongoji na Mitaa.

Hata hivyo amesema serikali imeweka mazingira rafiki ya kujiandikisha na kuachana visingizio vya kutojiandikisha.

KIONGOZI  wa Makundi Muhimu TK Movement Mkoa wa Singida,Ndg Ahmed Misanga (alivaa kofia) akiendela na uhamasishaji kwa vijana wa mkoa  huo kama anavyoonekana katika picha.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...