Katika harakati za kuwakwamua vijana kiuchumi, kampuni ya Nyota imezindua rasmi Casino mtandao inayoitwa "Nyota Casino" ambayo mtumiaji atacheza michezo mbalimbali itakayomwezesha kushinda pesa Kila wakati kupitia simu au kifaa kingine Cha kielektroniki.

Mbali na kucheza mtumiaji atakayemshikirikisha rafiki yake kuingia na kucheza michezo kupitia Nyota Casino atalipwa asilimia 5 ya kiasi atakachotumia mtumiaji wa pili, na kadri unavyosambaza zaidi ndio pesa inakua Nyingi Zaidi




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...