Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano ameshinda tuzo katika kipengele cha Best C.E.O of the year in media and content creation katika Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.
Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano akipokea tuzo  ya mshindi wa The Best C.E.O of the year in media and content creation wakati wa Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.
Mpiga picha wa Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya ESK Production Elia Stephano akitoa shukrani kwa wageni waliofika mara baada ya kupokea tuzo kipengele cha Best C.E.O of the year in media and content creation wakati wa  Tuzo za wakurugenzi vijana (Young C.E.O awards Afrika) zilizofanyika katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...