Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na Watanzania ambao wanashiriki Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika mjini Baku, Jamhuri ya Azerbaijan kuanzia Novemba 11-22,2024.Mha. Luhemeja amesisitiza washiriki hao kuwa Wazalendo kwani nafasii waliyoipata ni adhimu hivyo watumie wakati wote kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii na hivyo kupeleka matokeo chanya nchini.




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...