Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya
pamoja na Rais wa Azerbaijan Mhe. Ilham Aliyev (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu
wa Umoja wa Mataifa Mhe. António Guterres (kulia) wakati alipowasili katika Ukumbi wa
Nizami kushiriki Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa
Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan. Tarehe 12 Novemba
2024.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...