Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024. Rais Dkt. Samia amewasisitiza waislamu kujenga madrasa nyingi zaidi ili kuwapatia watoto mafunzo ya kiimani ambayo yatawawezesha kuwa na jamii zenye maadili.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...