Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Sadhia Abdallah_ wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia)_ Wilson Tarimo wapili (kushoto), watoto hawa watatu ni manusura wa ajali ya basi la shule ya msingi Lucky Vincent iliyoua wanafunzi 32 na dereva mmoja mnamo mei 6, 2017 eneo la Rothia wilayani Karatu Mkoani Arusha
Mwenyezi Mungu amewajalia heri wamekuwa wakubwa sasa wapo nchini Marekani wakiendelea na masomo ya Elimu ya Juu katika Vyuo Vikuu tofauti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...