Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akipiga kura katika kituo cha Shule ya Sekondari Jamhuri kililichopo Halmashari ya Jiji la Ilala Mkoani Dar es Salaam leo. Wananchi wanapiga kura leo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akipiga kura katika Kituo cha mtaa wa Chimuli II kilichopo Shule ya Msingi Chadulu jijini Dodoma leo.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji Asina Omari akipiga kura katika kituo cha Serikali ya Mtaa Masaki iliyopo Halmashari ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam leo. Wananchi wanapiga kura leo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri akipiga kura katika kituo cha Serikali ya Mtaa Ali Hassan Mwinyi , kilichopo - Mikocheni Halmashari ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam leo. Wananchi wanapiga kura leo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Magdalena Rwebangira akipiga kura katika kituo cha KIJICO , kilichopo - Kijitonyama Halmashari ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam leo. Wananchi wanapiga kura leo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...