Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
Wawakilishi wa wanafunzi wakiwasilisha maoni yao katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) kufunguliwa rasmi. |
Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
Baadhi ya wanafunzi waliotoa burudani katika Kongamano hilo wakipata picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi. |
Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC. |
Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC. |
Washiriki na wadau mbalimbali wa elimu wakiwa katika Kongamano la IQEC. |
Wadau mbalimbali wa elimu wakizungumza katika Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
Mkutano wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) ukiendelea. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...