Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa Mifumo ya Taarifa (ISACA) Abdulrahman Hussein (kulia) kwa Kujitolea na Kuchangia Ukuaji wa ISACA Tanzania Chapter (Usalama wa Mtandao, Ukaguzi na Hatari) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Tuzo hii inatambua juhudi za kampuni ya Vodacom katika kukuza uvumbuzi na ubora katika sekta ya teknolojia. Wafanyakazi wengine watatu wa kampuni hiyo pia walipewa tuzo kwa kuthamini mchango wao katika Sekta ya TEHAMA.





 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...