Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.

 




 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Dkt. Ubena John Agatho kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.



Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 
Viongozi mbalimbali wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025. 





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...