RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua Msikiti Mpya uliojenga na Zakaria na Familia yake katika Kijiji cha Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja na kupewa Jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunhuzi huo uliyofanyika leo 23-2-2025, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Ali Hassan Mwinyi. Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na (kushoto kwa Rais) Mohamed Zakaria na Naimu Zakaria na (kulia kwa Rais) Nadim Zakaria.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na kutowa shukrani kwa Familia ya Zakaria wakati wa ufunguzi wa Masikiti uliyojengwa na familia ya Zakaria na kupewa jina la Msikiti wa Mzee Ali Hassan Mwinyi, ufunguzi huo uliyofaika leo 23-2-2025, baada ya kisomo cha hitma na dua kumuombea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika Zawiyani Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...