Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akikata utepe na kuweka Jiwe la Msingi kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni Mkoani Tanga ambalo Ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 3.6.
Rais Samia amezindua Jengo Hilo leo February 25,2025 wakati wa mwendelezo wa Ziara ya kikazi Mkoani Tanga.











Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...