Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt.James Andilile,akiongoza Mada kuhusu Ushawishi wa Siasa za Kikanda kwenye Mahitaji na Bei ya Mafuta, leo 6/3/2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi Asilia Afrika Mashariki unaoendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere.
Home
Unlabelled
PICHA MBALIMBALI ZA MKURUGENZI WA EWURA AKIONGONZA MADA KATIKA KONGAMANO LA 11 LA MAFUTA NA GESI AFRIKA MASHARIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...