Kama unapanga kupata mtoto au unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu afya ya uzazi kwa wanawake njoo ufanye uchunguzi, uulize maswali, na ujifunze zaidi kutoka kwa wataalamu wa kimataifa.
Okoa muda na pesa – njoo uzungumze na mtaalamu wa IVF moja kwa moja! Watakuwepo tarehe 2-3 mwezi wa Mei, hapa DOCTORS PLAZA MOROCCO
Kwa mawasiliano tupigie simu kwa namba: 0710 344 341 au 0683 074 130.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...